Sera za magufuli - regarder vidéo
Hotuba ya Magufuli siku ya kwanza ya Kampeni.

John Pombe Magufuli ndio amepitishwa na ccm kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2015, hii ni hotuba yake ya kwanza siku ya...Ali Kiba afanya kufuru mbele ya Magufuli Arusha


Ali Kiba akitumbuiza kampeni za ccm Arusha wakati Magufuli akinadi sera zake mbele ya wakazi wa jiji la Arusha jana.Magufuli ahutubia Lindi

Magufuli ahutubia viwanja vya Mpilipili mkoani Lindi ukiwa mwendelezo wa kampeni za Urais 2015, Magufuli alinadi sera za ccm na wagombea wa ngazi...SERA YA ELIMU BURE: Janeth Magufuli ataka wazazi wasibweteke


Mke wa rais mama Janeth magufuli leo amemwaga machozi alipokuwa akiagana na walimu wa shule ya Msingi Mbuyuni, iliyoko jiji ni Dar es Salaam shule...Wanatoka Mbali Kuja Kusikiliza Sera Za Magufuli

Ni kipenzi cha watu, wanatoka mbali kuja kusikiliza sera zake zenye malengo makubwa ya kuendeleza taifa kiuchumi, kijamii, kiutamaduni na kisiasa.Ahadi Za Dkt Magufuli Kwa Wananchi Wa Babati Manyara


Mgombea Uraisi ccm Dkt. Magufuli awaahidi wananchi mkoani Manyara kuboresha kiwanda cha Mbolea kwa ajili ya uzalishaji wa Kiwango kikubwa.Mbunge wa Segerea, Flaviana Matata walivyoguswa na sera ya Rais Magufuli


Mbunge wa Segerea, Flaviana Matata walivyoguswa na sera ya Rais Magufuli.Dr. Magufuli Sukuma style of Leadership

Wasukuma wakitekeleza sera za Kilimo kwanza.Dr.J.P Magufuli akipiga PUSH-UP -MISENYI KAGERA.


Katika hali ambayo si ya kutarajia Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi aliamua kupiga push-UP Kabla ya kumwaga sera kwa wananchi wa...Tundu Lissu siku 100 za Magufuli